MILL DEE × ORIGINAL STINGER (MAISHA NI NOUMA) OFFICIAL LYRICS
MILL DEE × ORIGINAL STINGER (MAISHA NI NOUMA (LYRICS)
Watch maisha ni nouma by Mill Dee x original stinger on YouTube. Remember to like share and subscribe.
CHORUS
MAISHA saa hii ni nouma
Talanta ilinifanya niache kusoma
Nilidhani mtanipenda nikitoa hizi ngoma
Labda nilijichocha lakini sitachoka
Yeah reminiscing back in the days
Dad akinipa motisha like
Aki mwanangu soma
Fika place atleast get a diploma
Kidogo kidogo nikaanza kuzama Kwa ngoma
Goddam saa hii nafeel nikaa nitagoma
Juu daily najituma
Ngoma nasukuma
Bado sijavuma
Haki ya nani Kuna vile inaniuma
Nilidhani nitaomoka na mziki
After show promoter alinitoka
But ain't giving up
Bado Niko TU narora
Hoping stori zitakua poa
Na mziki itaniokoa
Siku moja nitatomboa
Though society inanipa pressure
Maisha inanitesa
Pesa zinanicheza
Nashikilia Imani boy never give up
Juu bado unaweza
I like the man I'm becoming
Nilitoka ocha
With just a dollar and a dream
Bila white collar its never easy like essay
Ilikua ni matap tap, tryna raise my self esteem
Kejani nikirap nitamake it Kwa hii dream hivo ndio mi hujichocha
The rest naachia God
Chorus
Maisha saa hii ni nouma
Talanta ilinifanya niache kusoma
Nikadhani mtanipenda nikitoa hizi ngoma
Labda nilijichocha lakini sitachoka
Outro!
Maisha saa hii ni nouma
Place nimetoka ni naona nikianza kuchoma
Kitu najua peke yake ni kuchora
Hata kama nasota
Mi siwezi choka
Comments